ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Sikuona haja ya kuleta wasanii kuja kusindikiza onyesho la final la BSS 2015!
Christian Bella hongera zake nyingi na kwa walioona live watakubaliana nami kwa jinsi Bella alivyotoka na kitita ambacho waweza sema ni zaidi ya 5M ya kutunzwa tu tafauti na walipopanda hao wageni. Kwanza hawakua na msisimko wowote..
Jamani next time waandaaji wa ma events tuache kasumba, tupende vyetu .Wasanii wa hapa Tanzania nao ni washereheshaji wazuri tu tuinuane Yamoto band na wengine wametosha tu ktk show kiukweli.