BSS Final hamkuwa na haja ya kuleta wa Nigeria!

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Sikuona haja ya kuleta wasanii kuja kusindikiza onyesho la final la BSS 2015!

Christian Bella hongera zake nyingi na kwa walioona live watakubaliana nami kwa jinsi Bella alivyotoka na kitita ambacho waweza sema ni zaidi ya 5M ya kutunzwa tu tafauti na walipopanda hao wageni. Kwanza hawakua na msisimko wowote..

Jamani next time waandaaji wa ma events tuache kasumba, tupende vyetu .Wasanii wa hapa Tanzania nao ni washereheshaji wazuri tu tuinuane Yamoto band na wengine wametosha tu ktk show kiukweli.
 
Yani utadhani ule usiku ulikuwa usiku wa Christian bella. He nailed it
 
Mie mnigeria sikumuelewi
Nilitamani king of best melody arudi jukwaani
 
Belaaa. ..akamalizia kwa kusema mwenye hii muzigo apewe
 
Sikuona haja ya kuleta wasanii kuja kusindikiza onyesho la final la BSS 2015!

Christian Bella hongera zake nyingi na kwa walioona live watakubaliana nami kwa jinsi Bella alivyotoka na kitita ambacho waweza sema ni zaidi ya 5M ya kutunzwa tu tafauti na walipopanda hao wageni. Kwanza hawakua na msisimko wowote..

Jamani next time waandaaji wa ma events tuache kasumba, tupende vyetu .Wasanii wa hapa Tanzania nao ni washereheshaji wazuri tu tuinuane Yamoto band na wengine wametosha tu ktk show kiukweli.

Yamoto band ni ccm ndio maana hawakutunzwa mpango mzima ni bella tu.
 
Nafikiri kwa East Africa Sauti Sol wanafanya vizuri sana hasa Live Perfomance
 
Sikuona haja ya kuleta wasanii kuja kusindikiza onyesho la final la BSS 2015!

Christian Bella hongera zake nyingi na kwa walioona live watakubaliana nami kwa jinsi

Bella alivyotoka na kitita ambacho waweza sema ni zaidi ya 5M ya kutunzwa tu tafauti na walipopanda hao wageni. Kwanza hawakua na msisimko wowote..

Jamani next time waandaaji wa ma events tuache kasumba, tupende vyetu .Wasanii wa hapa Tanzania nao ni washereheshaji wazuri tu tuinuane Yamoto band na wengine wametosha tu ktk show kiukweli.
Yaani umeandika nilichotaka kupost, sijui alikuwa anaemia nn yule mnigeria........
 
Hii ni kwa mujibu wako wewe Belo ila kwa wajuzi wa muziki kwa Africa nzima anayeshikilia hii tuzo ni DIAMOND PLATNUMZ haijalishi unampenda au haumpendi lakini habari ndo hiyo.
Nafikiri kwa East Africa Sauti Sol wanafanya vizuri sana hasa Live Perfomance
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom