ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Yani utadhani ule usiku ulikuwa usiku wa Christian bella. He nailed it
Kayumba babyyyNani ndio mshindii?
Kayumba babyyy
Ahsante kwa niaba yake tehWow jaman hongera Zakeee
Yani utadhani ule usiku ulikuwa usiku wa Christian bella. He nailed it
Aaah u - team Umezidi. But hata asipopata we all know kwamba bella ni habari nyingineHe nailed it! (kwa sauti ya kubana pua) mbona huwa hamumpi tuzo!? Zenu za kilimakyaro myuzik nini sijui?
Aaah u - team Umezidi. But hata asipopata we all know kwamba bella ni habari nyingine
Aah yule mtu anajua anachofanya, cheki tu jana alivyoharibu pale. Afu mwenyewe karelax, yani hana paparaNimefuta kauli kwa lazima! Kwa kweli Bella ni kariba ya akina Fally hahahaa tupo sawa
Aah yule mtu anajua anachofanya, cheki tu jana alivyoharibu pale. Afu mwenyewe karelax, yani hana papara
Mie mnigeria sikumuelewi
Nilitamani king of best melody arudi jukwaani
Bella naye ni mgeni kutoka DRC.
Sikuona haja ya kuleta wasanii kuja kusindikiza onyesho la final la BSS 2015!
Christian Bella hongera zake nyingi na kwa walioona live watakubaliana nami kwa jinsi Bella alivyotoka na kitita ambacho waweza sema ni zaidi ya 5M ya kutunzwa tu tafauti na walipopanda hao wageni. Kwanza hawakua na msisimko wowote..
Jamani next time waandaaji wa ma events tuache kasumba, tupende vyetu .Wasanii wa hapa Tanzania nao ni washereheshaji wazuri tu tuinuane Yamoto band na wengine wametosha tu ktk show kiukweli.
Yaani umeandika nilichotaka kupost, sijui alikuwa anaemia nn yule mnigeria........Sikuona haja ya kuleta wasanii kuja kusindikiza onyesho la final la BSS 2015!
Christian Bella hongera zake nyingi na kwa walioona live watakubaliana nami kwa jinsi
Bella alivyotoka na kitita ambacho waweza sema ni zaidi ya 5M ya kutunzwa tu tafauti na walipopanda hao wageni. Kwanza hawakua na msisimko wowote..
Jamani next time waandaaji wa ma events tuache kasumba, tupende vyetu .Wasanii wa hapa Tanzania nao ni washereheshaji wazuri tu tuinuane Yamoto band na wengine wametosha tu ktk show kiukweli.
Nafikiri kwa East Africa Sauti Sol wanafanya vizuri sana hasa Live Perfomance