BSS Final hamkuwa na haja ya kuleta wa Nigeria!

Hii ni kwa mujibu wako wewe Belo ila kwa wajuzi wa muziki kwa Africa nzima anayeshikilia hii tuzo ni DIAMOND PLATNUMZ haijalishi unampenda au haumpendi lakini habari ndo hiyo.

Acha ushabiki wako maandazi na ufiche aibu yako wewe.
Diamond anaimba LIVE vizuri kuliko Sauti Sol?
Hapa hatuongelei kukata mauno bali masauti yaliyokwenda shule,na hii ndio maana ya LIVE perfomance,kuna watu wanaimba tu huku wamekaa na watu wanaburudika kupita maelezo.
Hata hivyo ni kumuonea Diamond kwa kumpambanisha na Sauti Sol maana wale majamaa ni mafundi hasa wa muziki.
Kiuhalisia Diamond hata kwa Mr. Flavour hatoboi when it comes to LIVE perfomance.
 
Last edited by a moderator:
Haloo, nifah nimekumis sana kumbe upo na huku mara nyingi nakuona upo siasani nashukuru kwa kukuona nadhani umeshahisi huenda tutapigwa bao la mkono ndo mana unaanza kurudi kambini kwako ok na ninashukuru kale kamjamaa chako sijui king anayeishi kwa mama hujamuingiza hapa mana unajua hastahili, nikirudi kwenye hoja ni hivi labda uniambie/muniambie kwamba MTV BASE waliopo kwenye tasnia ya burudani kwa miaka kibao na ni wamiliki wa TV no 1 duniani kwa ajili ya muziki na ndo waandaji wa tuzo za kimataifa hawajui chochote kuhusu muziki zaidi yako wewe usiyemiliki hata gazeti la mambo ya muziki achilia mbali radio na wala sikuulizi kuhusu TV wala kama huwa unaandaa tuzo.
 
Last edited by a moderator:

Na Ali Kibaka je?
 

Hawa BSS wana pesa za mchezo, wanagharimika kumleta mnigeria ambaye hata watanzania hawamfahamu si bora angeacha wabongo tu, au hawajui sikuhizi wabongo tunapenda vya kwetu? Huyo Runtown naufaham wimbo wake mmoja tu aliobebwa na Davido. Ukiwa na nia ya kuwaleta wasanii wa nje basi ujipange kimkwanja umlete msanii ambaye wabongo wanampenda na kumuelewa, kwa Nigeria wasanii ambao wapo kichwani mwa waswahili ni PSquare, Davido labda na Wizkid, ukileta hao wengine unajichoresha tu
 

Nadhani kuna kitu kimoja ambacho hukijui kuhusu nifah...mimi ni mkweli,nyeupe nitaiweka nyeupe na hali kadhalika nyeusi n.k
Mahaba yangu kwa Kiba hayawezi kunipofusha nikashindwa kusema ukweli.....
Nasisitiza SAUTI SOL NDIO WAKALI WA LIVE PERFOMANCE E.A..
Hutaki acha,otherwise naona unataka kuleta ligi na mimi huo muda sina niko busy na mabadiliko..
Tukutane baada ya October 25,kwa sasa....kwaheri.
 
Last edited by a moderator:
Mafuriko sema hakuna msanii bongo kama king of the best melodies...nadhani management yake haiko vizuri sana..lakini ukweli ni kwamba kwa ubora kisanii jamaa ni zaidi ya mondi na kiba wakichanganywa kwa pamoja....
Yaani sikuwa naamini alichokuwa unajifanya jana jukwaani..anajua hadi ananikera sasa..he steal the show
 
Sawa nimekusikia nifah na ndo mana wajuzi wa mambo kutoa ubishani usiokuwa na msingi kama huu ndo mana wakaweka kitu kinachoitwa tuzo ili washindanishwe si kuongea hisia zako ila washindanishwe na katika kipengele cha live perfomer kwa tuzo za MTV AFRICAN MUSIC AWARD IKAENDA KWA DIAMOND PLATINUMZ hii ni kwamba haijalishi wewe unampenda au unamchukia ila ndo imeshakuwa hivo umetaka haujataka tuzo tayari anayo atuongelei hadithi ila tunaongelea kitu kilichopo kwa sasa
 
Last edited by a moderator:

Asanteeee mamiii...
 
Last edited by a moderator:
Binafsi namkubali Christian Bella kuliko hata hao Sauti Souls,ni king of the melodies kweli kweli,na lyrics zake zinaujumbe mzito(refer mama ni mama).
Amekua aki hit tokea akiwa mwajiriwa wa Akudo Impacts,si ajabu kuondoka kwake ndio kukawa anguko la Akudo Impacts.
 
Hii ni kwa mujibu wako wewe Belo ila kwa wajuzi wa muziki kwa Africa nzima anayeshikilia hii tuzo ni DIAMOND PLATNUMZ haijalishi unampenda au haumpendi lakini habari ndo hiyo.
Tatizo la wabongo kila kitu mnaleta mashindano,Sauti Sol wanaimba muziki wao,tatizo la Diamond anaimba muziki wa West Africa siku hizi,kwa ushauri tafuta live show za Sauti Sol ulinganishe na Diamond
 
Tatizo la wabongo kila kitu mnaleta mashindano,Sauti Sol wanaimba muziki wao,tatizo la Diamond anaimba muziki wa West Africa siku hizi,kwa ushauri tafuta live show za Sauti Sol ulinganishe na Diamond

sikujua kama mdogomdogo,nasema nao, ntampata wapi ni mziki wa west
 
sikujua kama mdogomdogo,nasema nao, ntampata wapi ni mziki wa west

Sijui hata tunabishana nini,Diamond muziki wake anapiga playback muziki wake unafaa uangalie kwenye TV sio live
Kwenye BSS walipaswa kuleta msanii wa nje ambaye ni wazuri kwenye live perfomance,Tafuta live show za Sauti Sol (Sura yako,Nerea,Isabela,Stili the one,Nishike)
 
Tatizo la wabongo kila kitu mnaleta mashindano,Sauti Sol wanaimba muziki wao,tatizo la Diamond anaimba muziki wa West Africa siku hizi,kwa ushauri tafuta live show za Sauti Sol ulinganishe na Diamond
Hiyo kazi wameshaifa MTV na tuzo wameshatoa sio hizi hadithi zako wakatuletea majibu kuwa M'BURUDISHAJI BORA KWA AFRICA NZIMA KWA MWAKA 2015 NI DIAMOND PLATINUMZ, KAMA UNAIKUBALI AU UNAIKATAA NDO IKO HIVO HAIBADILIKI kama vp hanzisha za kwako.
 

Kumbe Kenya napo kuna Wasanii Siku hizi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…