Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,461
- 35,218
Mie mnigeria sikumuelewi
Nilitamani king of best melody arudi jukwaani
hajafanya kitu kabisa yule. amezidiwa mpaka na washiriki wa bss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie mnigeria sikumuelewi
Nilitamani king of best melody arudi jukwaani
Hii ni kwa mujibu wako wewe Belo ila kwa wajuzi wa muziki kwa Africa nzima anayeshikilia hii tuzo ni DIAMOND PLATNUMZ haijalishi unampenda au haumpendi lakini habari ndo hiyo.
kayumba babyyy
Nafikiri kwa East Africa Sauti Sol wanafanya vizuri sana hasa Live Perfomance
Haloo, nifah nimekumis sana kumbe upo na huku mara nyingi nakuona upo siasani nashukuru kwa kukuona nadhani umeshahisi huenda tutapigwa bao la mkono ndo mana unaanza kurudi kambini kwako ok na ninashukuru kale kamjamaa chako sijui king anayeishi kwa mama hujamuingiza hapa mana unajua hastahili, nikirudi kwenye hoja ni hivi labda uniambie/muniambie kwamba MTV BASE waliopo kwenye tasnia ya burudani kwa miaka kibao na ni wamiliki wa TV no 1 duniani kwa ajili ya muziki na ndo waandaji wa tuzo za kimataifa hawajui chochote kuhusu muziki zaidi yako wewe usiyemiliki hata gazeti la mambo ya muziki achilia mbali radio na wala sikuulizi kuhusu TV wala kama huwa unaandaa tuzo.Acha ushabiki wako maandazi na ufiche aibu yako wewe.
Diamond anaimba LIVE vizuri kuliko Sauti Sol?
Hapa hatuongelei kukata mauno bali masauti yaliyokwenda shule,na hii ndio maana ya LIVE perfomance,kuna watu wanaimba tu huku wamekaa na watu wanaburudika kupita maelezo.
Hata hivyo ni kumuonea Diamond kwa kumpambanisha na Sauti Sol maana wale majamaa ni mafundi hasa wa muziki.
Kiuhalisia Diamond hata kwa Mr. Flavour hatoboi when it comes to LIVE perfomance.
Acha ushabiki wako maandazi na ufiche aibu yako wewe.
Diamond anaimba LIVE vizuri kuliko Sauti Sol?
Hapa hatuongelei kukata mauno bali masauti yaliyokwenda shule,na hii ndio maana ya LIVE perfomance,kuna watu wanaimba tu huku wamekaa na watu wanaburudika kupita maelezo.
Hata hivyo ni kumuonea Diamond kwa kumpambanisha na Sauti Sol maana wale majamaa ni mafundi hasa wa muziki.
Kiuhalisia Diamond hata kwa Mr. Flavour hatoboi when it comes to LIVE perfomance.
Sikuona haja ya kuleta wasanii kuja kusindikiza onyesho la final la BSS 2015!
Christian Bella hongera zake nyingi na kwa walioona live watakubaliana nami kwa jinsi Bella alivyotoka na kitita ambacho waweza sema ni zaidi ya 5M ya kutunzwa tu tafauti na walipopanda hao wageni. Kwanza hawakua na msisimko wowote..
Jamani next time waandaaji wa ma events tuache kasumba, tupende vyetu .Wasanii wa hapa Tanzania nao ni washereheshaji wazuri tu tuinuane Yamoto band na wengine wametosha tu ktk show kiukweli.
Haloo, nifah nimekumis sana kumbe upo na huku mara nyingi nakuona upo siasani nashukuru kwa kukuona nadhani umeshahisi huenda tutapigwa bao la mkono ndo mana unaanza kurudi kambini kwako ok na ninashukuru kale kamjamaa chako sijui king anayeishi kwa mama hujamuingiza hapa mana unajua hastahili, nikirudi kwenye hoja ni hivi labda uniambie/muniambie kwamba MTV BASE waliopo kwenye tasnia ya burudani kwa miaka kibao na ni wamiliki wa TV no 1 duniani kwa ajili ya muziki na ndo waandaji wa tuzo za kimataifa hawajui chochote kuhusu muziki zaidi yako wewe usiyemiliki hata gazeti la mambo ya muziki achilia mbali radio na wala sikuulizi kuhusu TV wala kama huwa unaandaa tuzo.
Sawa nimekusikia nifah na ndo mana wajuzi wa mambo kutoa ubishani usiokuwa na msingi kama huu ndo mana wakaweka kitu kinachoitwa tuzo ili washindanishwe si kuongea hisia zako ila washindanishwe na katika kipengele cha live perfomer kwa tuzo za MTV AFRICAN MUSIC AWARD IKAENDA KWA DIAMOND PLATINUMZ hii ni kwamba haijalishi wewe unampenda au unamchukia ila ndo imeshakuwa hivo umetaka haujataka tuzo tayari anayo atuongelei hadithi ila tunaongelea kitu kilichopo kwa sasaNadhani kuna kitu kimoja ambacho hukijui kuhusu nifah...mimi ni mkweli,nyeupe nitaiweka nyeupe na hali kadhalika nyeusi n.k
Mahaba yangu kwa Kiba hayawezi kunipofusha nikashindwa kusema ukweli.....
Nasisitiza SAUTI SOL NDIO WAKALI WA LIVE PERFOMANCE E.A..
Hutaki acha,otherwise naona unataka kuleta ligi na mimi huo muda sina niko busy na mabadiliko..
Tukutane baada ya October 25,kwa sasa....kwaheri.
Nadhani kuna kitu kimoja ambacho hukijui kuhusu nifah...mimi ni mkweli,nyeupe nitaiweka nyeupe na hali kadhalika nyeusi n.k
Mahaba yangu kwa Kiba hayawezi kunipofusha nikashindwa kusema ukweli.....
Nasisitiza SAUTI SOL NDIO WAKALI WA LIVE PERFOMANCE E.A..
Hutaki acha,otherwise naona unataka kuleta ligi na mimi huo muda sina niko busy na mabadiliko..
Tukutane baada ya October 25,kwa sasa....kwaheri.
Tatizo la wabongo kila kitu mnaleta mashindano,Sauti Sol wanaimba muziki wao,tatizo la Diamond anaimba muziki wa West Africa siku hizi,kwa ushauri tafuta live show za Sauti Sol ulinganishe na DiamondHii ni kwa mujibu wako wewe Belo ila kwa wajuzi wa muziki kwa Africa nzima anayeshikilia hii tuzo ni DIAMOND PLATNUMZ haijalishi unampenda au haumpendi lakini habari ndo hiyo.
Tatizo la wabongo kila kitu mnaleta mashindano,Sauti Sol wanaimba muziki wao,tatizo la Diamond anaimba muziki wa West Africa siku hizi,kwa ushauri tafuta live show za Sauti Sol ulinganishe na Diamond
sikujua kama mdogomdogo,nasema nao, ntampata wapi ni mziki wa west
Hiyo kazi wameshaifa MTV na tuzo wameshatoa sio hizi hadithi zako wakatuletea majibu kuwa M'BURUDISHAJI BORA KWA AFRICA NZIMA KWA MWAKA 2015 NI DIAMOND PLATINUMZ, KAMA UNAIKUBALI AU UNAIKATAA NDO IKO HIVO HAIBADILIKI kama vp hanzisha za kwako.Tatizo la wabongo kila kitu mnaleta mashindano,Sauti Sol wanaimba muziki wao,tatizo la Diamond anaimba muziki wa West Africa siku hizi,kwa ushauri tafuta live show za Sauti Sol ulinganishe na Diamond
Sijui hata tunabishana nini,Diamond muziki wake anapiga playback muziki wake unafaa uangalie kwenye TV sio live
Kwenye BSS walipaswa kuleta msanii wa nje ambaye ni wazuri kwenye live perfomance,Tafuta live show za Sauti Sol (Sura yako,Nerea,Isabela,Stili the one,Nishike)