BSS ina uchawi gani?mbona wengi hawafanikiwi?

Nilitaka kuja na hii hoja kwamba sio BSS tu watu wengi wanaopitia kwenye aina ya haya mashindano huwa hawafanikiwa asee ni wachache mnoo saivi namsubiri huyu aloimba na Akon sijui kama anaweza ku-make
 
bss hata haina maana yoyote! me sioni maana yake! kukariri mistari tu nakuiimba jukwaani hata me naweza japo sina nia wala sina wazo lakuwa msanii
 

Kama wengi wao wamefanikiwa kupata ' Mishuga Dadi ' na wengine kupata ' Mishuga Mami ' ulikuwa unataka wapate mafanikio gani tena mengine Mkuu? Kwani kwako Wewe hayo siyo mafanikio?
 
Walio shida chali kifo cha mende.
Walio shindwa wanafanya vzur mpaka kesho.

Maajabu ya bss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…