Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,898
- 40,547
Nchi zinazojitambua zinajitahidi Kutunza mitaji ya ndani na hivyo kila fursa inayopatikana inatunzwa kwa faida ya Nchi.
Kirando cha kumnyima Mtanzania (alistahili) Sofia (So-Fire) zawadi ambayo ingekwenda kuchechemua uchumi wake, familia yake na Jamii yake si Uzalendo mliofanya.
Kama Mtu ana kitumbua kimoja na ana Mtoto wake na Mtoto wa jirani, asili ya binadamu na faida ya nafasi inamtaka ajali panapomhusu zaidi yaani yule atakayefanya alaumiwe akidhulika.
Tumepata bahati crdb wamekuja na mil.50 wanazimeaga kwenye uchumi lakini Majaji na waandaaji mmetafuta Jinsi ya kumfurahisha Madam Ritha ambaye amesoma Uganda?