Labda mashindano yawe ya watanzania pekee, ila wakichanganya mataifa hata baada miaka kumi awapati hiyo tuzo watanzania
Wana vibe ila awajui kwenda na mziki unavyotaka, yaani hawajui kuimba kiufupi ila Wana Ile mizuka ya mziki
Mile kibinti kimestahili