Nyongeza ni 30000 tu,ualimu tena? Tafuta kazi nyingine ndugu hiyo siyo
Akawe kama Alex Massawe??? Wewe ulifundishwa na nani na watoto wako watafundishwa na nani??Nyongeza ni 30000 tu,ualimu tena? Tafuta kazi nyingine ndugu hiyo siyo
Naombeni kuulza kwa anayejua ukweli kuhusu mishara mipya ya walimu please naomba unisaidie. Setifikate ,diploma na degree , hawa wanaotoka nyuo nakuajiriwa.
Nikosa kisheria kuweka mishara yaserikali hadharani,wajua hilo?
bila mwalimu ww ungekuwa wapi?Nyongeza ni 30000 tu,ualimu tena? Tafuta kazi nyingine ndugu hiyo siyo
Akawe kama Alex Massawe??? Wewe ulifundishwa na nani na watoto wako watafundishwa na nani??
Wale kutoka Jamaica watalipwa kiasi gani?
kuna kosa gani? usiwe mtumwa wa mawazo wewe... twambie sheria gani na ya mwaka gani inakataza.Nikosa kisheria kuweka mishara yaserikali hadharani,wajua hilo?
Tgts B1 304000 TGTS C 432000 tgts d 585000, tgts E 768000 nakuendelea mishahara mipya july.