Bubujiko la mishara kwa walimu

Bubujiko la mishara kwa walimu

Tgts a1 296,000
tgts b1 344.000
tgts c1 432,500
tgts d1 589,000
tgts e1 769,000
tgts f1 1,003,000
tgts g1 1,320,000
tgts h1 1,734,000
tgts i1 2,415,000
 
Dah! Poleni waalimu wangu wapendwa,siku nikishika hatamu za madaraka lazima muishi maisha mazuri! Inaniuma sana yaan kanyongeza ka "nyanya" ndio wamewapa!? Mungu awatie nguvu katika maisha magumu mnayopitia
 
Walimu wenyewe hawana umoja.unategemea nin hapo?
 
ok, mm nasema kama ni Hivi, wazungu tutaendelea kuwa vibarua wao
 
UKICHAGUA UALIMU UMEAMUA KUFA MASKINI, ingawa kuna siku naamin kuna mtu atasimama kuwatetea walimu kwan hata viongoz wa juu katika nchi hii hawaon kabisa maisha ya walimu, yaan hata certificate ya nursing inazidi degree ya ualimu!!! du! ama kwel aliyeshiba hamjui mwenye njaa!!

acha kudanganya watu na kukatisha waalim tamaa
 
walimu wao wenyewe niwaoga mno!hawana nia dhabiti nambinu zakimsimamo imara zakuitaka serikali iwape mshahara unaofaa,woga wao ndio umaskini wao!hovyo sana miwalimu yatanzania,sijui kinawashinda nini kucopy nakupaste waliyofanya wenzao wakenya?mtakula vumbi lachaki nakuonewa hadi namadiwani kata hadi basi msipo amua kwadhati kujipigania kufa nakupona.endeleeni kusubiri huruma ya rahisi kiwete wenu muone!!!!!!!

wewe naona akili zako zimefikia mwisho wa kufikiri : there is logic thats fallacy ! :kijana mwenye akili huwezi kuandika kejeli kama hizo! KAMA HUONI CHA KUANDIKA KAA KIMYA
 
wewe naona akili zako zimefikia mwisho wa kufikiri : there is logic thats fallacy ! :kijana mwenye akili huwezi kuandika kejeli kama hizo! KAMA HUONI CHA KUANDIKA KAA KIMYA

Wewe mratibu elimu kata acha kuwadanganya walimu kisa unaendesha noah!
 
Acha kuropoka wewe!!Nani kakwambia hatutaki mishahara yetu iwewazi?Yaani nyie mnataka kuishi bila utaratibu sio?Nakama huo utaratibu haufai kuna namna yakuupinga sio kuropoka tu!!
 
Back
Top Bottom