BUCHA YA NYAMA YA MBUZI

BUCHA YA NYAMA YA MBUZI

Italipa baada ya muda.

Cha kufanya anza ila uwe na huduma bora na classic sana, watu wataambiana tu na wataanza kujaa. Narudia tena uwe na huduma bora!

Hakikisha pia una supply ya mee za kutosha. Sio mtu akija leo nyama ipo kesho hamna keshokutwa nyama ipo ila saa nne asubuhi imeisha na ndio hadi kkutwa
 
Unafungua Kisesa

Shukran kwa ushauri
 
Jaribu uweke na jiko pembeni

Unauza Nyama then unauza na nyama choma

Na bia ziwepo yaani usiwekeze nguvu kubwa katika bucha Kama bucha Ila weka bucha ile unachinja mbuzi unauza nyama inayobaki inakuwa Nyala choma

Zingatia location
 
Back
Top Bottom