Sir Kisesa
Member
- Jan 30, 2020
- 25
- 23
ShukranUwe na jiko pembeni labda..maana walaji wengi wa nyama ya mbuzi wanapenda kuchomewa tofauti na ng'ombe
ShukranUnafungua Kisesa
Unafungua Kisesa
Shukran kwa ushauriItalipa baada ya muda.
Cha kufanya anza ila uwe na huduma bora na classic sana, watu wataambiana tu na wataanza kujaa. Narudia tena uwe na huduma bora!
Hakikisha pia una supply ya mee za kutosha. Sio mtu akija leo nyama ipo kesho hamna keshokutwa nyama ipo ila saa nne asubuhi imeisha na ndio hadi kkutwa
Nilitaka nikupe location ila basi, nimeghairiHabari
Naomba wazoefu mnisaidie , nikifingua Bucha yq Nyama ya Mbuzi itanilipa?
Naona mabucha mengi ni Ng'ombe.
Naomba wazoefu mnisaidie, je inalipa location ni Dar