agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Umepata nomber ngapi za simu,?Niwache nini?
Nomber za waremboNamba za simu zinahusika vipi na hii mada?
Ndio maana ruksa kuoa wa4Hili bata linaloendelea hapa sio la nchi hii. Muziki mzuri, kumejaa watoto wazuri balaa! Ratio ya men/women ni 1:4 ni hatari.
Kama kuna mrembo wa JF hapo aje mezani kwangu nimuagizie bucket ya kinywaji anachokunywa!
Wewe jibu ulichoelewa ....hata likiwa tusi😀😀Hold on...Nomber ni nini? Isijekuwa najibu nisichokijua
Ulikosea sana Bahati hiyo...Nilikuwa hapo Juzi,kwakweli sio haba.Dada zetu wanapendeza sana wakiwa hapo; nilikutana na mrembo mmoja nikaishia kumsalimia tu.
Ulikosea sana Bahati hiyo...
Huyo binti anachochea zinaa.
SawaKwanini nilikosea mkuu,niliogopa kujiingiza matatizoni
Weee mkakaaa nitake radhi...Huyo binti anachochea zinaa.
Kuomba sio dhambi😀Hakika mkuu,kuwa na ukaribu na mrembo kama yule ni ngumu kujizuia kumuomba
Njoo uchukueNaomba..
Kwani hujawahi kufanya?Kuomba kufanya matusi ni dhambi mkuu,we we huogopi dhambi..?