Buckets....

Buckets....

Hili bata linaloendelea hapa sio la nchi hii. Muziki mzuri, kumejaa watoto wazuri balaa! Ratio ya men/women ni 1:4 ni hatari.
Kama kuna mrembo wa JF hapo aje mezani kwangu nimuagizie bucket ya kinywaji anachokunywa!
Ndio maana ruksa kuoa wa4
 
Nilikuwa hapo Juzi,kwakweli sio haba.Dada zetu wanapendeza sana wakiwa hapo; nilikutana na mrembo mmoja nikaishia kumsalimia tu.
 
Back
Top Bottom