Pole mkuu komaa na winter huko....!Afrika Mashariki nzima hakuna watu wanakula Bata kama Bongo!
Uziri wa Bongo ni kwamba kuna viwanja vya watu wa hadhi zote...
Ukitaka Bata ndefu kuna mitaaa yake, Ukitaka ile moderate unapata na ukiwa huna uwezo utakula bata ya size yako pia. Bongo Daslamu huwa hamtengi wala kumbagua mtu When it comes to Bataaa!
Pole mkuu komaa na winter huko....!
Samaki Samaki local beer 5,000Bia 6 for only 10,000/- watatuua hawa
RRONDO niko Buckets wanapiga Kare ya P-UnitPole mkuu komaa na winter huko....!
RRONDO niko Buckets wanapiga Kare ya P-Unit
Wamemla kichwa tena
Daah nitam miss sana bestie yangu huyu.... amezinguana na nani?Wamemla kichwa tena
Akina Malcom Lumumba wanamletea fitna...Naona pamefunguliwa now.
Palikuwa pamefungwa for some time.
Mimi ntakuwa ndiyo nasepa usiku huo.Ha ha ha kumekucha...jumamosi nipo hapo
Tutakutana kabisa mkuu, ngoja nimalizane na pilika hizi za kusafiri-safiri.Ipo siku tutakutana hapo.
Hata Four ways Na Governor's kuna kipindi palifungwa kabla ya BucketsAkina Malcom Lumumba wanamletea fitna...
Hajazinguana na mtu basi tu kuna mods anajifunzia kutoa ban kwa ndugu yanguDaah nitam miss sana bestie yangu huyu.... amezinguana na nani?
ukipata hiyo sehemu tafadhali nistue na mimi mkuuNataka kujitahidi niache kabisa,natafuta sehemu wanpofanya castration ya madume ya binadamu niende nikafanye ili nisisimamishe kabisa.