Buckets....

Buckets....

Afrika Mashariki nzima hakuna watu wanakula Bata kama Bongo!
Uziri wa Bongo ni kwamba kuna viwanja vya watu wa hadhi zote...
Ukitaka Bata ndefu kuna mitaaa yake, Ukitaka ile moderate unapata na ukiwa huna uwezo utakula bata ya size yako pia. Bongo Daslamu huwa hamtengi wala kumbagua mtu When it comes to Bataaa!
Pole mkuu komaa na winter huko....!
 
Nataka kujitahidi niache kabisa,natafuta sehemu wanpofanya castration ya madume ya binadamu niende nikafanye ili nisisimamishe kabisa.
ukipata hiyo sehemu tafadhali nistue na mimi mkuu
 
Back
Top Bottom