Buckets....

Buckets....

Nilikuwa hapo Juzi,kwakweli sio haba.Dada zetu wanapendeza sana wakiwa hapo; nilikutana na mrembo mmoja nikaishia kumsalimia tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]
bfe91a70c23671c462979ead1a46c6a4.jpg


I love u hun
 
Nataka kujitahidi niache kabisa,natafuta sehemu wanpofanya castration ya madume ya binadamu niende nikafanye ili nisisimamishe kabisa.
dadeq ....umewaza mbali ..ile kitu kusimama kwake tu kuna sababisha mwanaume ufilisike
 
Bongo siondoki....!

Afrika Mashariki nzima hakuna watu wanakula Bata kama Bongo!
Uziri wa Bongo ni kwamba kuna viwanja vya watu wa hadhi zote...
Ukitaka Bata ndefu kuna mitaaa yake, Ukitaka ile moderate unapata na ukiwa huna uwezo utakula bata ya size yako pia. Bongo Daslamu huwa hamtengi wala kumbagua mtu When it comes to Bataaa!
 
Back
Top Bottom