Buckingham Palace yatoa taarifa kujibu mahojiano yaliyofanywa na Oprah kwa Mwanamfalme Harry na mkewe Meghan Markle

Buckingham Palace yatoa taarifa kujibu mahojiano yaliyofanywa na Oprah kwa Mwanamfalme Harry na mkewe Meghan Markle

The Sheriff

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2019
Posts
747
Reaction score
2,112
Malkia.jpg

Buckingham Palace imetoa taarifa kwa niaba ya Malkia Elizabeth kama majibu ya mahojiano yaliyofanywa na Oprah Winfrey kwa Mwanamfalme Harry na mkewe Meghan.

Taarifa hiyo imeeleza kuwa familia nzima inasikitishwa kufahamu ni jinsi gani miaka michache iliyopita imekuwa migumu kwa wawili hao.

Aidha imeeleza zaidi kuwa masuala yaliyoibuliwa katika mahojiano hayo, hasa yale yahusuyo rangi, yamechukuliwa kwa uzito sana na yatashughulikiwa na familia katika faragha.

Mwishoni, taarifa hiyo imehitimishwa kuwa "Harry, Meghan na [mtoto wao] Archie daima wataendelea kupendwa sana na wanafamilia"

Pia soma > Meghan Markle: Walikataa kumfanya mtoto wangu mwanamfalme (Prince) kisa mweusi kidogo

============

Buckingham Palace has released a statement on behalf of the Queen in response to the Duke and Duchess of Sussexes’ bombshell Oprah Winfrey interview.

It said: "The whole family is saddened to learn the full extent of how challenging the last few years have been for Harry and Meghan.

"The issues raised, particularly that of race, are concerning. Whilst some recollections may vary, they are taken very seriously and will be addressed by the family privately.
"Harry, Meghan and Archie will always be much loved family members."

Buckingham Palace's response to the issues raised by the Sussexes in their shocking Oprah Winfrey interview was "dignified" and "skillful", a royal expert has said.

Penny Junor, an author of royal biographies, said the tone of the palace's response appeared to be one of "sorrow", rather than anger.

She said: "I think this response is dignified. It is leaving Harry and Meghan some dignity and it's expressing that they will always be much-loved members of the family.
"It says that they are saddened to learn how challenging those years were for Meghan and Harry.

"They are saying 'we didn't appreciate quite how tough it was for you, you've raised an issue of race, which is worrying to us, and while some recollections may vary, we hear what you're saying and will look closely and address any failings we find'.

"So they are saying we don't buy everything you've accused us of."

She added: "I think the route, as far as I was concerned, was to reply in sorrow rather than anger, which is what they've done."

Source: The Telegraph
 
Harry sio mwanamfalme.

Harry hana mzazi mfalme.

Na katika ukoo wa Harry hakuna mfalme.

Wala wao wenyewe hawamwiti mwanamfalme.
 
Ilikua hivi, Meghan alitambulishwa kwa Harry na marafiki ambao pia walikua marafiki wa watoto wa Andrew yaani Eugene na Beatrice. Meghan hakufahamu mengi kuhusu familia ya mfalme. Baada ya kukutana na Harry alianza uchambuzi na uchunguzi wa maisha ya Diana.

Katika harusi yake, alihakikisha Oprah anapata mwaliko japo hawakuwa wanafahamiana kivile. Hata ndugu zake wa karibu walikosa mwaliko alioupata Oprah.

Baada ya kuolewa ma Prince hata status yake imebadilika. Sasa hivi yuko katika A list ya Hollywood actresses.
 
Ngoma bado nzito hii hawakujua namna ya kujibu wanadhani wataweza kuifunika hii issue kirahisi rahisi wakati the World media and general public all over the World are watching what’s going on.
Duuh sasa hapo ndo tuseme wameshajieleza walichojadili kwa masaa 3?

Kwetu zingeitwa press na page kama 13 hivi
 
Ilikua hivi, Meghan alitambulishwa kwa Harry na marafiki ambao pia walikua marafiki wa watoto wa Andrew yaani Eugene na Beatrice. Meghan hakufahamu mengi kuhusu familia ya mfalme. Baada ya kukutana na Harry alianza uchambuzi na uchunguzi wa maisha ya Diana.

Katika harusi yake, alihakikisha Oprah anapata mwaliko japo jawakuwa wanafahamiana kivile. Hata ndugu zake wa karibu walikosa mwaliko alioupata Oprah.

Baada ya kuolewa ma Prince hata status yake imebadilika. Sasa hivi yuko katika A list ya Hollywood actresses.
Didnt expect this from a lady..hata weweeeee..dah, yaani unahisi all that for fame or else being somebody?[emoji44]
 
... press ya mistari mitatu tu ila imeshusha "joto" drastically! Maneno yaliyotumika na mpangilio wake; dah! Duniani humu kuna mabingwa wa saikolojia. Ingekuwa kwetu huku badala ya kupooza, yangezidi kuchochea moto; ha ha ha! Afrika nonma sana.
 
Hawa waalimu wangu walionifundisga history kuandika essay nitawashtaki sasa.

Manake nilikuwa nikiandika essay fupi wananinyima marks! Wananambia niwe exhaustive.

Niandike kwa kirefu!?
 
Meghan mwongo, kitoto chake kisheria hakina ufalme hata kingekuwa cheuoe.
 
Ilikua hivi, Meghan alitambulishwa kwa Harry na marafiki ambao pia walikua marafiki wa watoto wa Andrew yaani Eugene na Beatrice. Meghan hakufahamu mengi kuhusu familia ya mfalme. Baada ya kukutana na Harry alianza uchambuzi na uchunguzi wa maisha ya Diana.

Katika harusi yake, alihakikisha Oprah anapata mwaliko japo jawakuwa wanafahamiana kivile. Hata ndugu zake wa karibu walikosa mwaliko alioupata Oprah.

Baada ya kuolewa ma Prince hata status yake imebadilika. Sasa hivi yuko katika A list ya Hollywood actresses.
Alicheza Kama Pele

Oprah ana power flani kule Hollywood kwa black female celebrity /actresses

Kama ilivyo kwa Tyler Perry
 
Alicheza Kama Pele

Oprah ana power flani kule Hollywood kwa black female celebrity /actresses

Kama ilivyo kwa Tyler Perry
Nimeiona power ya Oprah, kwanza Buckingham Palace wameamua kuwa watulivu. Kumbuka 1/3 ya Commonwealth ni ethnic minorities.

Piercy Morgan ametangaza kuacha kazi baada ya kumkejeli Meghan kwenye This Morning.
 
Back
Top Bottom