Buckingham Palace yatoa taarifa kujibu mahojiano yaliyofanywa na Oprah kwa Mwanamfalme Harry na mkewe Meghan Markle

Buckingham Palace yatoa taarifa kujibu mahojiano yaliyofanywa na Oprah kwa Mwanamfalme Harry na mkewe Meghan Markle


Buckingham Palace imetoa taarifa kwa niaba ya Malkia Elizabeth kama majibu ya mahojiano yaliyofanywa na Oprah Winfrey kwa Mwanamfalme Harry na mkewe Meghan.

Taarifa hiyo imeeleza kuwa familia nzima inasikitishwa kufahamu ni jinsi gani miaka michache iliyopita imekuwa migumu kwa wawili hao.

Aidha imeeleza zaidi kuwa masuala yaliyoibuliwa katika mahojiano hayo, hasa yale yahusuyo rangi, yamechukuliwa kwa uzito sana na yatashughulikiwa na familia katika faragha.

Mwishoni, taarifa hiyo imehitimishwa kuwa "Harry, Meghan na [mtoto wao] Archie daima wataendelea kupendwa sana na wanafamilia"

Pia soma > Meghan Markle: Walikataa kumfanya mtoto wangu mwanamfalme (Prince) kisa mweusi kidogo

============

Buckingham Palace has released a statement on behalf of the Queen in response to the Duke and Duchess of Sussexes’ bombshell Oprah Winfrey interview.

It said: "The whole family is saddened to learn the full extent of how challenging the last few years have been for Harry and Meghan.

"The issues raised, particularly that of race, are concerning. Whilst some recollections may vary, they are taken very seriously and will be addressed by the family privately.
"Harry, Meghan and Archie will always be much loved family members."

Buckingham Palace's response to the issues raised by the Sussexes in their shocking Oprah Winfrey interview was "dignified" and "skillful", a royal expert has said.

Penny Junor, an author of royal biographies, said the tone of the palace's response appeared to be one of "sorrow", rather than anger.

She said: "I think this response is dignified. It is leaving Harry and Meghan some dignity and it's expressing that they will always be much-loved members of the family.
"It says that they are saddened to learn how challenging those years were for Meghan and Harry.

"They are saying 'we didn't appreciate quite how tough it was for you, you've raised an issue of race, which is worrying to us, and while some recollections may vary, we hear what you're saying and will look closely and address any failings we find'.

"So they are saying we don't buy everything you've accused us of."

She added: "I think the route, as far as I was concerned, was to reply in sorrow rather than anger, which is what they've done."

Source: The Telegraph
Yasije yakawakuta yaliyomkuta mama ake Princess Diana kule ufaransa. Alitengeneezewa ajali ya Gari Aina ya Benzi na kufariki apo apo. Roya Family of England are Devil [emoji48] worshipers
 
Ilikua hivi, Meghan alitambulishwa kwa Harry na marafiki ambao pia walikua marafiki wa watoto wa Andrew yaani Eugene na Beatrice. Meghan hakufahamu mengi kuhusu familia ya mfalme. Baada ya kukutana na Harry alianza uchambuzi na uchunguzi wa maisha ya Diana.

Katika harusi yake, alihakikisha Oprah anapata mwaliko japo jawakuwa wanafahamiana kivile. Hata ndugu zake wa karibu walikosa mwaliko alioupata Oprah.

Baada ya kuolewa ma Prince hata status yake imebadilika. Sasa hivi yuko katika A list ya Hollywood actresses.
Kwanini alimkaribisha Oprah? Kwanini hampendi babaake?

Je, hawezi kufanyiziwa?
 
... press ya mistari mitatu tu ila imeshusha "joto" drastically! Maneno yaliyotumika na mpangilio wake; dah! Duniani humu kuna mabingwa wa saikolojia. Ingekuwa kwetu huku badala ya kupooza, yangezidi kuchochea moto; ha ha ha! Afrika nonma sana.
Ukishikwa pabaya vibaya sana, hutakiwi kuongea mengi, kwa sababu ukifanya hivyo utaonekana wazi kuwa unajitetea na kuanza kuwatia mashaka watu kwamba unajitetea kwa kosa ulilofanya.

Unaongea machache, vague and open ended statements ambazo zinaashiria confidence ya aina fulani iliyojificha ndani ya mamlaka, huku moyoni ukiwa umedhoofu kama konokono. Cheza na watoto wa kisasa, "wamekinukisha" vijana wa kisasa huwa wanasema!
 
... press ya mistari mitatu tu ila imeshusha "joto" drastically! Maneno yaliyotumika na mpangilio wake; dah! Duniani humu kuna mabingwa wa saikolojia. Ingekuwa kwetu huku badala ya kupooza, yangezidi kuchochea moto; ha ha ha! Afrika nonma sana.
Hawa jamaa matendo uongea sana kuliko maneno

Hapo wametumia Hekima ya hali ya juu ila subiri matendo.

Pamoja na hilo invisible war dhidi ya DNA za ubaguzi imeshaingia kwenye kasiri.
 
Back
Top Bottom