Buckingham Palace yatoa taarifa kujibu mahojiano yaliyofanywa na Oprah kwa Mwanamfalme Harry na mkewe Meghan Markle

Yasije yakawakuta yaliyomkuta mama ake Princess Diana kule ufaransa. Alitengeneezewa ajali ya Gari Aina ya Benzi na kufariki apo apo. Roya Family of England are Devil [emoji48] worshipers
 
Kwanini alimkaribisha Oprah? Kwanini hampendi babaake?

Je, hawezi kufanyiziwa?
 
... press ya mistari mitatu tu ila imeshusha "joto" drastically! Maneno yaliyotumika na mpangilio wake; dah! Duniani humu kuna mabingwa wa saikolojia. Ingekuwa kwetu huku badala ya kupooza, yangezidi kuchochea moto; ha ha ha! Afrika nonma sana.
Ukishikwa pabaya vibaya sana, hutakiwi kuongea mengi, kwa sababu ukifanya hivyo utaonekana wazi kuwa unajitetea na kuanza kuwatia mashaka watu kwamba unajitetea kwa kosa ulilofanya.

Unaongea machache, vague and open ended statements ambazo zinaashiria confidence ya aina fulani iliyojificha ndani ya mamlaka, huku moyoni ukiwa umedhoofu kama konokono. Cheza na watoto wa kisasa, "wamekinukisha" vijana wa kisasa huwa wanasema!
 
... press ya mistari mitatu tu ila imeshusha "joto" drastically! Maneno yaliyotumika na mpangilio wake; dah! Duniani humu kuna mabingwa wa saikolojia. Ingekuwa kwetu huku badala ya kupooza, yangezidi kuchochea moto; ha ha ha! Afrika nonma sana.
Hawa jamaa matendo uongea sana kuliko maneno

Hapo wametumia Hekima ya hali ya juu ila subiri matendo.

Pamoja na hilo invisible war dhidi ya DNA za ubaguzi imeshaingia kwenye kasiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…