Buddha Lucana aonekana tena baada ya ukarabati nchini China

Wanaamini misanamu, kisha ndo waje wampiku kiuchumi US anayeamini ktk Mungu muumba tena anamsaidia Israel mzaliwa wa kwanza wa Mungu.

Mungu hatoruhusu litokee hilo.

Amen.
 
Mzaliwa wa kwanza wa Mungu ni mwisrael kumbe?
Tumpe hongera zake.
 
Wanaamini misanamu, kisha ndo waje wampiku kiuchumi US anayeamini ktk Mungu muumba tena anamsaidia Israel mzaliwa wa kwanza wa Mungu.

Mungu hatoruhusu litokee hilo.

Amen.

US anayeeneza Ushoga yeye na Mungu wapi na wapi? Au dini zenu zinafundisha ushoga?? US kajificha kwenye kichaka cha dini. Roman catholic nao wameruhusu ushoga wanasema haki za binadamu wtf??.

Mahaba yanawazidi mpaka mnakua mazezeta US =SATAN
 
Wanaamini misanamu, kisha ndo waje wampiku kiuchumi US anayeamini ktk Mungu muumba tena anamsaidia Israel mzaliwa wa kwanza wa Mungu.

Mungu hatoruhusu litokee hilo.

Amen.
Kama hujui kitu ni heri kukaa kimya!

Ndoa za mashoga zimeanzia wapi kurasimishwa?
 
Wanaamini misanamu, kisha ndo waje wampiku kiuchumi US anayeamini ktk Mungu muumba tena anamsaidia Israel mzaliwa wa kwanza wa Mungu.

Mungu hatoruhusu litokee hilo.

Amen.
Mungu aliyewaruhusu wawe mashoga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…