Budget Gaming PC build

Chief kuhusu laptop za asus vivobook 15 Kwa gaming
Unatakiwa uangalie specification mkuu sio jina la laptop. Kwenye laptop model hio hio inaweza kuwa na i3/i5/i7/i9 etc nyengine zikaja na dedicated gpu nyengine hazina dedicated gpu etc. Muulize muuzaji specs kwanza kabla huja fanya maamuzi.
 
Core i3 gen 10

Didicated graphic 2Gb
 
Core i3 gen 10

Didicated graphic 2Gb
i3 gen ya 10 mkuu ni so and so, labda kama unaipata bei rahisi sana chini ya 400, ila kwa games uongo, maana ni dual core.

Hizo wanazo kwamba dedicated graphics 2GB ni uongo sio dedicated ni shared na ram.
 
Ila Mbona fifa 2019 linaplay fresh tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…