Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Unatakiwa uangalie specification mkuu sio jina la laptop. Kwenye laptop model hio hio inaweza kuwa na i3/i5/i7/i9 etc nyengine zikaja na dedicated gpu nyengine hazina dedicated gpu etc. Muulize muuzaji specs kwanza kabla huja fanya maamuzi.Chief kuhusu laptop za asus vivobook 15 Kwa gaming