malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Kwanin uhame kutoka xiaomi?Habar wakuu nataka kuhama kutoka kwenye Xiaomi kuja sumsung ,naombeni msaada wenu nitoleo jipi hasa matoleo mapya naweza pata Samsung yenye camera quality,betri kukaa na chaji mda mrefu,na iwe fast charging na je maduka Gani Hasa kariakoo napata mpya fullbox,
Xiaomi gani unatumia sasa hivi? Budget hio unapata A35/A36Habar wakuu nataka kuhama kutoka kwenye Xiaomi kuja sumsung ,naombeni msaada wenu nitoleo jipi hasa matoleo mapya naweza pata Samsung yenye camera quality,betri kukaa na chaji mda mrefu,na iwe fast charging na je maduka Gani Hasa kariakoo napata mpya fullbox,
Nimeamua tu Xiaomi ninayo miaka3Kwanin uhame kutoka xiaomi?
Kati A35/A36 ipi boraXiaomi gani unatumia sasa hivi? Budget hio unapata A35/A36
Zinafanana Almost everything, A36 ni mpya zaidi so itapata Support ndefu zaidi,Kati A35/A36 ipi bora
Ya 25GB shingapZinafanana Almost everything, A36 ni mpya zaidi so itapata Support ndefu zaidi,
Kwa A35 sababu ni ya mwaka jana hio Budget inaweza kupa configuration kubwa zaidi kwa maana ya Storage na ram, A36 kwa hio 700 inabidi tu uwe mpole uchukue configuration ya chini 6/128GB
Within Budget yako, hapo sasa itategemea duka na duka na utakavyotaka Bargain.Ya 25GB shingap
Ntajuaje hii mpya na hii usedWithin Budget yako, hapo sasa itategemea duka na duka na utakavyotaka Bargain.
Sajili hapa, simu inayokataa kusajili achana nayo.Ntajuaje hii mpya na hii used
Karibu dukani mkuuHabar wakuu nataka kuhama kutoka kwenye Xiaomi kuja sumsung ,naombeni msaada wenu nitoleo jipi hasa matoleo mapya naweza pata Samsung yenye camera quality,betri kukaa na chaji mda mrefu,na iwe fast charging na je maduka Gani Hasa kariakoo napata mpya fullbox,
Unasajili vipSajili hapa, simu inayokataa kusajili achana nayo.
Samsung Care+ | Samsung Africa
Protect your new Galaxy with Samsung Care plus. Reliable coverage for hardware repairs, accidental damage, battery replacement and more for up to 2 years.www.samsung.com
Sio tu utajua simu ni Genuine na ina warranty pia utapewa Punguzo ukiharibu kioo.
Duka Gani dar napata originalSajili hapa, simu inayokataa kusajili achana nayo.
Samsung Care+ | Samsung Africa
Protect your new Galaxy with Samsung Care plus. Reliable coverage for hardware repairs, accidental damage, battery replacement and more for up to 2 years.www.samsung.com
Sio tu utajua simu ni Genuine na ina warranty pia utapewa Punguzo ukiharibu kioo.
Nenda googleHabar wakuu nataka kuhama kutoka kwenye Xiaomi kuja sumsung ,naombeni msaada wenu nitoleo jipi hasa matoleo mapya naweza pata Samsung yenye camera quality,betri kukaa na chaji mda mrefu,na iwe fast charging na je maduka Gani Hasa kariakoo napata mpya fullbox,
Click redeem hapo fuata maelekezo, kawaida hutumika tu Imei ama serial za simu.Unasaj
Unasajili vip
A35 mpya fullbox nishilingi ngap dukani,kariako vip yapo maduka yasio najanja janja yanauza mpya fullboxKwa bajeti hiyo unapa A55 mpya, kitu full box au chaguo dogo lake ni A35 chukua chap ule mema ya samsung. Huko chiomi ulipotea njia