Budget ya 500k-700k Samsung mpya version ipi nzuri camera quality,betri chaji mda mrefu,fast charging

Budget ya 500k-700k Samsung mpya version ipi nzuri camera quality,betri chaji mda mrefu,fast charging

Karibu dukani mkuu



USED GENUINE

-S21 ultra clean (original lcd) 650,000/=

-S22 ultra 128GB

750,000/=

(SMALL DISPLAY)

-note 20 ultra 128GB

480,000/=



BRAND NEW 📦

-s21 ultra 128GB (1 sim + E-sim) full display original

720,000/=



☎️+255676721372

📍Kariakoo, Aggrunayo Msimbazi st.

S24 au s23 unay
 
Zinafanana Almost everything, A36 ni mpya zaidi so itapata Support ndefu zaidi,

Kwa A35 sababu ni ya mwaka jana hio Budget inaweza kupa configuration kubwa zaidi kwa maana ya Storage na ram, A36 kwa hio 700 inabidi tu uwe mpole uchukue configuration ya chini 6/128GB
Samsung A25 ikoje mkuu nabei yake
 
Hvi mkuu hzi One plus Ace 3 pro ni simu nzuri kulinganisha na bei zake??
Simu nzuri sana mkuu, kwa bei gani? Hio ni equivalent ya oneplus 11 ama kwa simu zetu za Tanzania around S23 ama iphone 14 hv.
 
Nimeona kwa AliExpress ni kuanzia 1.1m kwa china version
Not worth it mkuu, site za ndani za China unapata yuan 1300 ambayo ni karibia laki 5, siku hizi Aliexpress madalali wengi.

Kipindi op 11 inatoka ilikua kama 1.2 mpya baada ya miaka miwili bila warranty kununua kwa 1.1m sio busara.

Around laki 6 - 8 ni fair price kwa simu za 8 gen 2.
 
Back
Top Bottom