Karibu dukani mkuu
USED GENUINE
-S21 ultra clean (original lcd) 650,000/=
-S22 ultra 128GB
750,000/=
(SMALL DISPLAY)
-note 20 ultra 128GB
480,000/=
BRAND NEW 📦
-s21 ultra 128GB (1 sim + E-sim) full display original
720,000/=
☎️+255676721372
📍Kariakoo, Aggrunayo Msimbazi st.
S24 au s23 unay
Samsung A25 ikoje mkuu nabei yakeZinafanana Almost everything, A36 ni mpya zaidi so itapata Support ndefu zaidi,
Kwa A35 sababu ni ya mwaka jana hio Budget inaweza kupa configuration kubwa zaidi kwa maana ya Storage na ram, A36 kwa hio 700 inabidi tu uwe mpole uchukue configuration ya chini 6/128GB
Hvi mkuu hzi One plus Ace 3 pro ni simu nzuri kulinganisha na bei zake??Click redeem hapo fuata maelekezo, kawaida hutumika tu Imei ama serial za simu.
Simu nzuri sana mkuu, kwa bei gani? Hio ni equivalent ya oneplus 11 ama kwa simu zetu za Tanzania around S23 ama iphone 14 hv.Hvi mkuu hzi One plus Ace 3 pro ni simu nzuri kulinganisha na bei zake??
Nimeona kwa AliExpress ni kuanzia 1.1m kwa china versionSimu nzuri sana mkuu, kwa bei gani? Hio ni equivalent ya oneplus 11 ama kwa simu zetu za Tanzania around S23 ama iphone 14 hv.
Not worth it mkuu, site za ndani za China unapata yuan 1300 ambayo ni karibia laki 5, siku hizi Aliexpress madalali wengi.Nimeona kwa AliExpress ni kuanzia 1.1m kwa china version