Budget yangu ya kuanzisha duka la vifaa vya umeme. Prove me wrong

hii ndo budget ya manunuzi

1.Switch 3
2.Bulb 3
3.Cable 2
4.wire m20
5.holders 5
6.Tester 3

Kimepelea nini kwa mtaji wa lak 1
Kwa TZ,biashara zifuatavyo inalipa sana.
1: spea za bizaa,simu ,motorbike,magari.
2: Vyakula hapa naipa namba 1 kwenye utokaji.
3: Ujenzi vifaa labda uwe mchakalikaji sana kutafuta tenda.
4: vitu viwahusuo akina mama,nguo,viatu,urembo.
5: Ufundi ….ukiwa fundi mchanyato bilakujali nini unaweza tengeneza hutakosa wateja.
 
kwaiyo niachane na biashara yangu ya vifaa vya umeme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…