Budget yangu ya kuanzisha duka la vifaa vya umeme. Prove me wrong

Nilianza na laki 8 hii bishara dodoma. Saivi nakimbiza ml 3+ nme weka na uwakala si haba ,dodoma ujenzi ni mwingi sana. Ml 3+sio faida ni mtaji una kimbilia uko
 
Kwa TZ,biashara zifuatavyo inalipa sana.
1: spea za bizaa,simu ,motorbike,magari.
2: Vyakula hapa naipa namba 1 kwenye utokaji.
3: Ujenzi vifaa labda uwe mchakalikaji sana kutafuta tenda.
4: vitu viwahusuo akina mama,nguo,viatu,urembo.
5: Ufundi ….ukiwa fundi mchanyato bilakujali nini unaweza tengeneza hutakosa wateja.
Kila mtu na biashara yake mzee
 
Nakubaliana na wewe.
 
Back
Top Bottom