britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
ya Beelzebuli yalimpata Mkuu wa Makuhani kwasababu ya Ujira mwiha , naye bufa aliahidiwa kwamba ntafanya ya beelzebuli Kwa makuhani watakao kuja madhali umeonesha commitment Kwa hili, katika furaha na faraja Mwanasabufa akajifariji kwamba yangeisha kwakua latili zishatangulia, akashangaa ya iskariote yanamtokea mbele ya mkutano wa mafarisayo!
Makuhani wanasimulia kwamba Sanhedrin ililaani kujitwalia mamlaka na kutia wino Kwenda Kwa Jengo la Mwanzilishi karemjee
Sabufa anajipanga kuja kivingine kuwavua nguo mpaka aloficha msumari kwenye mazishi ya mwana wa zebedayo
Latili za Ujira mwiha zinaleta shida
Britanicca