Buffon: “Referee can’t have the cynicism to destroy the effort of a whole team

Kuna jamaa dakika ya 50 aliniambia kuwa kuna Penaty hapo na mfungaji ni Ronaldo.Nikawa namatazama simweli,baadae ikatokea la kutokea.Nikabaki tu namtazama jamaa...kumbe
 
Huyo refa ni mwingereza. Na ndio maana kwenye kombe la Dunia hawajachangua refa hata mmoja toka Uingereza. FIFA wanawajua hawa
 


Bora nibaki nashabika barca yangu ambayo hatunaga mambo ya uwizi
 
Ile ni clear Penalty haina ubishi sema Juve walipambana na walideserve more even kwenda semi final.. hizi kelele za Mara sijui sio penalty ni roho zinauma maana weng waliomba sana kilichomkuta bwana Yule Rome Italy kimkute na Madrid huo sio mpira na chuki sometimes hupofusha hata penye ukweli. Tuahamishie Mawazo semi final
 
Kwa uchezaji ule wa Juve, Penat ilikua lazima itokee. Walikua wanatumia Nguvu kupitakiasi.
 
Nyinyi wabongo makocha nyie,marefarii nyie,refa alikuwa sahihi kabla tendo nani alikuwa na mpira uwezi kupiga mpira kwenye kifua cha mtu aliye kwenye nafasi ya kufunga .urefa ni taaluma za watu achani ushabiki
 
Wanaojua mpira wa mwanza wanafahamu namna mashabiki wa Boca Junior ya jijinithe humu uwafanya marefa wasio na busara katika maamuzi yao.
Hao ni hatari amerika kusini, marefa huwa wanatwangwa
 
Kati ya wachezaji mpira wenye nidham na good sportsmanship ni Buffoon ila basi tuu. It hurts to the core. Ila soccer la mahesabu nakujituma liko Italia. Wacha hao real wapangwe wakutane na Bayan
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bayern wenyewe umweaona!!
Mweeeh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…