auferet dominus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,804
- 1,292
aisee yaani kweli yule mtu mmoja tu aliyecheza rafu mbaya sana kwenye penati box amewauwa kabisa wenzakeDaaa ina uma sana, jamaa wamepambana mno afu mtu mmoja tu ana amua kuwaua! hakika ina kera sana