Bugarika, Mwanza: Maji bado changamoto kwa miaka 60 ya CCM madarakani

Endelea kuishi kwa shemeji yako mkuu mpaka utakapo kua
Naweza kukutunza dogo kwa umli nilionao, nina watu jama wewe wanaokula na kufanya kazi kama 6 badi wanaokula bule bila mshahara.

Ukuprnda tuma maombi nikupe kibarua.
 
Na ajabu maji ya ziwa yanapelekwa hadi shinyanga wakati sehemu nyingi za mwanza hakuna maji
 
M
Naweza kukutunza dogo kwa umli nilionao, nina watu jama wewe wanaokula na kufanya kazi kama 6 badi wanaokula bule bila mshahara.

Ukuprnda tuma maombi nikupe kibarua.
Mbona povu michezo huu hautaji hasira
 
Kwani nyie wapiga kura wa Jiwe hamkumwambia hilo?
 
Upumbavu mkubwa kabisa. Maji yapo ziwanu hata km 10 hazifiki.
 
LOOoo, umeyaunganisha haya mambo (katiba na upatikanaji wa maji Bugarika) isivyotegemewa!

Lakini sisemi kwamba hayawezi kuunganishwa na kuonekana yako sambamba.
 
Mabula kwake mkolani ingilia upande wa kanisa katoliki nenda maeneo ya mkolani sc utampata anaishi maeneo hayo toka akiwa mlinzi kule ihumilo luchelele kwa mzungu anaitwa Giji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…