Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

Buguruni vitu vya shambani bei rahisi sana,na panawafaa vijana majobless wanaojitafuta

Unakuta nyanya au ndizi zimepangwa fungi utadhani muuzaji anataka kumaliza fasta ili aondoke,kumbe ndiyo wanavyopanga. Na Biashara hadi usiku.

Asubuhi mapema Ukiwa na buku mbili unaibukia vinginguti unarudi na mfuko wa nyama ya ng'ombe ya kutosha.

Tatizo la buguruni ni nyumba tu za hovyo,hakuna nyumba standard,kunafanana na manzese,vinginguti na tandika.
 
Mkuu una uhakika hiyo nyama ni ya ng'ombe? Hebu sikilizia vizuri ladha yake. Mjini kuna mambo mengi.
 
ooooohhh kumbe msamvu nao wapo?
Ngoja nikutafutie ushahidi nisije nikashambuliwa na watu wa huko 👇
 
aisee hatar na nusu
 
Kuna mtaa Buguruni upo pale stendi ya daladala za Ilala hafu unaingia kushoto sijui kunaitwaje kule. Aisee. Shikamoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…