Buguruni maeneo gani mazuri yametulia?

Buguruni maeneo gani mazuri yametulia?

Hivi mtoa mada alikua serious au? 🤣🤣🤣
 
Niliishi buguruni lkn siwezi kujitambulisha. Ni kwenye nyumba za ibada pekee kumetulia.

Kama unania ya kufunga ndoa sawa. Nenda Chachi au msikitini pale pametulia
 
Next nina meeting na mchumba nataka nikutane naye Buguruni ingawa sivijui vizuri viwanja vya pale Nipeni location

Pub gani nzuri au mahalo pazuri nitulie na mtoto JoJo kuwe lodge muhimu Sana [emoji2937]
Mnyamani au Kimboka.
 
Yaan Buguruni/tandale/manzese/mwananyamala hizo sehem ziwe na mahali pametulia kweli uko serious ndg?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwache aende wakamgawane
 
Back
Top Bottom