Bugurunu kuna bei za mabosi na bei za mafundi mbao,misumari, bati n.k

Bugurunu kuna bei za mabosi na bei za mafundi mbao,misumari, bati n.k

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
857
Reaction score
1,810
Yes kama ulivyosoma bei ya kumpa fundi bei ya kumpa bos ni tofauti kabisa.

Fanya utafiti kwanza kabla ya kununua mfano misumari boss kilo 4000 kwa fundi 2500 na kuendelea (huwez ambiwa kirahisi) kabla hujanunua fanya utafiti kwa kazi za kupaua

Fundi kupaua james 0743 257 669
 
Back
Top Bottom