ujenzi nafuu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2020
- 243
- 88
- Thread starter
-
- #141
Asante, karibu sana mkuuAsante kwa majibu na estimate hiyo. Kwa uhakika nyumba ni nzuri. Ila kweli inabidi mtu kujiandaa haswa ukitaka kitu kizuri. Maana niliambiwaga finishing ya nyumba inagharimu almost sawa na gharama ya kujenga boma. Kwa maana hiyo nyumba kama hiyo mpaka ikamilike ni kama 300M. Dah! Ila ipo siku ndoto yangu ya kujenga itatimia. Inaweza isiwe ghorofa kama hilo, lakini nyumba isiyo ya ghorofa lakini nzuri. Nimeanza kuwekeza, na so far niko kwenye 60M. Mdogo mdogo tu na Isnhaalah ipo siku mtaniona ofisini kwenu. Nimependa kazi zenu.
Kuhusu CRB, kuna kitu kinaitwa "SubContracting" mkuu, karibu sana.6 hamuwezi kujenga hayo majengo uliotuwekea. Kwa maana ya CRB hawawezi kuwarusu!....
Mkuu nahitaji kujua zaidi kuhusu hizo apartment units za chini kushoto. I assume ni units nne ….chini mbili juu mbili.Residential Apartment, call/watsap us for designing & Construction, +255713805750
View attachment 1651285
Hello mkuu, karibu tuwasiliane kwa 0713805750 au 0765141027,Mkuu nahitaji kujua zaidi kuhusu hizo apartment units za chini kushoto. I assume ni units nne ….chini mbili juu mbili.
Kama hii ya two-bedroom, wastani mtu ajiandae kiasi gani - kwenye kiwanja tambarare?2bedrooms apartment
View attachment 1865875
kama kila kitu kipo "fair" yaani materials, eneo lilivyo, usimamizi mzuri, design ipo vizuri (no dead spaces), nk, unaweza kuifanya kwa 35m-40m.Kama hii ya two-bedroom, wastani mtu ajiandae kiasi gani - kwenye kiwanja tambarare?