ujenzi nafuu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2020
- 243
- 88
- Thread starter
- #121
Welcome all!
"A small plot Size, with spacious living space"
watsap/call +255713805750
"A small plot Size, with spacious living space"
watsap/call +255713805750
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa mmefeli kitu kimoja tu, mmeshindwa kuficha ule waya. Ilibidi kuwe na pipe ya cable ndani ya ukuta.Welcome all!
"A small plot Size, with spacious living space"
watsap/call +255713805750View attachment 1745890
Ni kweli mkuu, hii ilikuwa ni "error" ndogo, ila tulirekebisha, asante kwa ushauriHapa mmefeli kitu kimoja tu, mmeshindwa kuficha ule waya. Ilibidi kuwe na pipe ya cable ndani ya ukuta.
Shukrani mkuuKazi ya kibabe. Hongera sana.
Nimeipenda hii. Rough estimate, mtu ajiandae kiasi gani kwa kitu kama hiki. Ni rooms ngapi hii?
5Bedrooms, sasa structure hutofautiana na aina ya eneo lilivyo, upatikanaji wa materials zake, aina ya materials unazotumia nk nk.Nimeipenda hii. Rough estimate, mtu ajiandae kiasi gani kwa kitu kama hiki. Ni rooms ngapi hii?
6 hamuwezi kujenga hayo majengo uliotuwekea. Kwa maana ya CRB hawawezi kuwarusu!....6 mkuu
Asante kwa majibu na estimate hiyo. Kwa uhakika nyumba ni nzuri. Ila kweli inabidi mtu kujiandaa haswa ukitaka kitu kizuri. Maana niliambiwaga finishing ya nyumba inagharimu almost sawa na gharama ya kujenga boma. Kwa maana hiyo nyumba kama hiyo mpaka ikamilike ni kama 300M. Dah! Ila ipo siku ndoto yangu ya kujenga itatimia. Inaweza isiwe ghorofa kama hilo, lakini nyumba isiyo ya ghorofa lakini nzuri. Nimeanza kuwekeza, na so far niko kwenye 60M. Mdogo mdogo tu na Isnhaalah ipo siku mtaniona ofisini kwenu. Nimependa kazi zenu.5Bedrooms, sasa structure hutofautiana na aina ya eneo lilivyo, upatikanaji wa materials zake, aina ya materials unazotumia nk nk.
kama kila kitu kipo kawaida, yaani hapana hizo "variations", boma pekee yaani mpaka kuezeka tu unaweza tumia 150m (katika usimamizi mzuri). Katika umaliziaji (finishing), ndio hutegemea na mfuko wako, kwasababu ya uchaguzi wa materials, Asante na karibu sana tukuhudumie!