Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
Akina mangi nao wamegundua mzinga wa asali.
sasa wanachonga mzinga tu.
Nalog off
Wanakosea wanajichonga na wenyewe,
tafsiri hii inawahusu zaidi hawa wenzetu waliowapiku wahehe...hahahaaaaaaaa lol!kumbe kuwekeza kwenye papuchi ni sawa na kuwekeza kwenye kifo....
watakuwa na liletoleo jipya la div 5 kwa tz...Lol!hahahaha kweli wamefeli.
Nalog off
tafsiri hii inawahusu zaidi hawa wenzetu waliowapiku wahehe...hahahaaaaaaaa lol!
Nije wapi wakati wenazko tunacheza seek and hide?Bujibuji njoo huku ujibu shutuma zako toka kwa waliochukua nafasi ya wahehe ya kujiua kwa ajili ya viungo vya watu...
Saint Ivuga nimeamini kuwa kweli ninatafutwa kwa udi na uvumba na hawa wenzetu wafuga mbudhi wa mila, yaaani kiasi kwamba hata Mamndenyi hataki kunijulisha kwa jinsi na yeye anavyotamani kuona nikigeuzwa mbuzi wa tambiko.Akina mangi nao wamegundua mzinga wa asali.
Saint Ivuga nimeamini kuwa kweli ninatafutwa kwa udi na uvumba na hawa wenzetu wafuga mbudhi wa mila, yaaani kiasi kwamba hata Mamndenyi hataki kunijulisha kwa jinsi na yeye anavyotamani kuona nikigeuzwa mbuzi wa tambiko.