Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kadi umepata leo saa tisa,harusi kesho!!!!Wana JF, ndio naingia ofisini nikitokea site, mezani nimekutana na kadi ya mwaliko wa harusi kutoka kwa Bujibuji. Congratulations
anaoa mke alepewa mwanza alipoenda msibani! hongera sana mungu awatangulie
Kadi umepata leo saa tisa,harusi kesho!!!!
Utakuwa na muda wakununua viwalo?
Jamani ni kweli kabisa Bujibuji anaoa kesho, namtakia maisha mema yeye na mkewe.
Mbona hamtutajii bi harusi?
NAKUTAKIA Ndo yenye amani na upendo kaka BUJIBUJI