Bujibuji kufunga ndoa kesho 22/10/2011

hata mimi siamini
hii haiingiii akilini kabisa
au buji kawekwa ndani na nani tena jamani.
 
Ni heri kuota ndoto
zisizokuja kuwa kweli kuliko
kutoota kabisa by
pushkin.alifariki baada ya
kuzipiga ulingoni na jamaa
ambaye alikua anagombea nae
mwanamke hivyo wakakubaliana
kupigana hadi kifo hatayebaki hai
anachukua mwanamke.hii
inafurahisha lakini jamaa
amenivutia coz he was ready to
die for the woman he truly loves
 
bujibuji muoaji kuanzia lini? Hebu tutumieni picha za harusi tuzione
 
Kila la heri Buji Buji, nakutakia maisha ya amani na upendo.

Na kweli simuoni huku ndani nafikiri atakuwa yuko fungate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…