Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Unaenda wapi?Chura ipo?Nakuja
Naona sumbawanga sikuhizi imekuwa mwanza..!π€£Nakuja
Mcheki gILeSi fasta hapo mtaa wa makoroboi, hiyo huduma anaiweza sana hasa kwa wageni wa Roki Site kama wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bhing'hwe, mwo misha mola?
Weekend hii nipo Mwanza, kabla sijachomoka jumatatu asubuhi na bundi wa Chato.
Sii mbaya nikikutana na mwana JF hata mmoja, akiwa wa ile jinsia pendwa itakuwa poa zaidi, huenda tukaperuzi ule uzi wetu pendwa wa KULA TUNDA KIMASIHARA
Nasikia kahamia Kakola anapiga hela hukoMcheki gILeSi fasta hapo mtaa wa makoroboi, hiyo huduma anaiweza sana hasa kwa wageni wa Roki Site kama wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huko alipo.Unaenda wapi?Chura ipo?
Brother Hebu niwache huko we naeππNaona sumbawanga sikuhizi imekuwa mwanza..!π€£
karibu nyegezi mheshimiwa bujibuji
Njoo Pm nikupe goma la Bwiru ni zaidi ya jinsia pendwa maana linatoa mpaka mtandao pendwa
Bhing'hwe, mwo misha mola?