Bujibuji leo niko Mwanza

Bujibuji leo niko Mwanza

Bujubuji nipo Wag Hill nakusubiri, kama umefika identify yourself nikuelekeze nilipo
 
Bhing'hwe, mwo misha mola?
Weekend hii nipo Mwanza, kabla sijachomoka jumatatu asubuhi na bundi wa Chato.
Sii mbaya nikikutana na mwana JF hata mmoja, akiwa wa ile jinsia pendwa itakuwa poa zaidi, huenda tukaperuzi ule uzi wetu pendwa wa KULA TUNDA KIMASIHARA
Kijereshi......

My home city,

Missing ma hood
 
Jitahidi sana utafune minofu ya Sato mitaa ya Kirumba,utakuja kunishukuru nakwambia.
 
Back
Top Bottom