[emoji35] [emoji35] [emoji35] kutafuta majibu ya tuhuma naenda kuonana na 'waungwana'[emoji1] [emoji1] [emoji1] Msata unaenda kufanya nini tena au ndo ileee
[emoji23] [emoji23] [emoji23]hata kama roho inaumaHahahaha pole sana kizuri kula na nduguyo
Sikubali kutuhumiwa bila kosa kesho naenda Msata
Wee subiri majibu yatakuja hapahapa
Poa japo njia hiyo ndefu kidogohaaaa nipitie kibamba mkuu
Mbona unataka kumtisha mleta mada[emoji35] [emoji35] [emoji35] kutafuta majibu ya tuhuma naenda kuonana na 'waungwana'
Hapana ni kupata tu ukweli wa tuhumaMbona unataka kumtisha mleta mada
All the best. Mrejesho muhimuHapana ni kupata tu ukweli wa tuhuma
Unamaanissha mpenzi au mke?Habari zenu wakuu,
Nimeingiwa na wasiwasi sana, nina mpenzi wangu nampenda sana, lakini hivi karibuni ameanza kubadilika.
Kila muda nikionana naye ananipa stori za mshana jr na Bujibuji, anadai amewafahamia JF. Anataka eti wamfundishe kujikinga na wachawi, hivyo anawatafuta. Kumbuka hajui kama mimi nipo JF, wala hajui kama najua wanavyoleta thread za kichawi.
Anadai eti anamtafuta Bujibuji ili ampe dawa ya kuona wachawi na kugundua nyoka wa Kichawi.
Mshana anataka ampe dawa na kujikinga na majini. Wiki mbili sasa akilala anaweweseka, anaota na kutamka maneno kwa Sauti. Kilichofanya niandike hapa, ni baada ya jana kuota na kusikia maneno akitamka kabisa BUJI, ikabidi nimuamshe, akasema nimemsikia vibaya alikua anaota akinywa Uji.
Mke wangu mwenyewe kila siku namuona kule MMU.
Naombeni msaada ili mpenzi wangu asichepuke kwani bado nampenda. Na hawa watu wanaomtongoza kwa dawa nawaogopa sana.
Mkishavuliana chupi zaidi ya mara tano mkawa na hisia za upendo kati yenu mengine yote ni story tuuUnamaanissha mpenzi au mke?
Mwambie hizo wanazofundisha wakina Mshana jr na Bujibuji ni theory tu.Habari zenu wakuu,
Nimeingiwa na wasiwasi sana, nina mpenzi wangu nampenda sana, lakini hivi karibuni ameanza kubadilika.
Kila muda nikionana naye ananipa stori za mshana jr na Bujibuji, anadai amewafahamia JF. Anataka eti wamfundishe kujikinga na wachawi, hivyo anawatafuta. Kumbuka hajui kama mimi nipo JF, wala hajui kama najua wanavyoleta thread za kichawi.
Anadai eti anamtafuta Bujibuji ili ampe dawa ya kuona wachawi na kugundua nyoka wa Kichawi.
Mshana anataka ampe dawa na kujikinga na majini. Wiki mbili sasa akilala anaweweseka, anaota na kutamka maneno kwa Sauti. Kilichofanya niandike hapa, ni baada ya jana kuota na kusikia maneno akitamka kabisa BUJI, ikabidi nimuamshe, akasema nimemsikia vibaya alikua anaota akinywa Uji.
Mke wangu mwenyewe kila siku namuona kule MMU.
Naombeni msaada ili mpenzi wangu asichepuke kwani bado nampenda. Na hawa watu wanaomtongoza kwa dawa nawaogopa sana.
Ohooo!!!! Msata kufanya nini tena mkuu? Si figganigga keshakubali yaishe, yaani wewe panga tu ratiba ya darasa; tena jamaa atamsindikiza mamaa bila shida😛Sikubali kutuhumiwa bila kosa kesho naenda Msata
Kule kuna kilinge cha haki kitasema yoteOhooo!!!! Msata kufanya nini tena mkuu? Si figganigga keshakubali yaishe, yaani wewe panga tu ratiba ya darasa; tena jamaa atamsindikiza mamaa bila shida😛
Ukisikia paaaah,.......................!
Lakini amekusudia kukidhi haja yake!ujue imekukosa aliye lenga kafanya makosa
Duuuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji16]Nasikia mshana anaweza kuja ucku akala mzigo kisha akasepa bila ya wew kumuona..!! Nakushaur uwaombe suluhu hawa jamaa..!