Bujibuji seriously natangaza NDOA

Dena naona Bujibuji ameamua kukimbia..................
Alisahau kwamba anadeal na great thinkers pole zake
 
Hongera kwa kuamua kuwowa,karibu sana kwenye taasisi kuu.
 
Dena naona Bujibuji ameamua kukimbia..................
Alisahau kwamba anadeal na great thinkers pole zake

Si ndo hapo sasa hajui hapa we dare to talk openly but ki Great Thinker
 
Mbona Ubungo uliuziwa mche wa sabuni ukadanganywa ni simu? Hayo mbona huyasemi?


Yaani wewe unachekesha mie nikanunue simu Ubungo stand nina wazimu ama kitu gani??? Haiwezekani ng'ooooo nakuheshimu ndo maana nilishangaa ulipoleta thread ya kisanii kubali yaishe umechemsha right????
 
Mbona Ubungo uliuziwa mche wa sabuni ukadanganywa ni simu? Hayo mbona huyasemi?
jibu swali la DA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…