Musundi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,584
- 2,613
Walishaukimbia mji sababu ya "JULIANA". Ndio hao unaowasifia kuonekana katika miji mingine!!Bukoba mjini bwana,,hakuna bar nzuri zenye totos kama maeneo kama mwanza ..busereser au biharamulo..Bar wanazosif ni Q bar au skyway au kishari lakini nimeangaliwa wahudumu ni wazee wa miaka 50 etc..Sijui shida nini?