Bukoba mambo ya migomba yanaelekea kupotea kwenye makazi ya watu

Chizcom ulipotelea wapi tena mkuu, rwami ama kibeta?
 
Tatizo mnakuja na mentality ya kukuta bukoba inafanana na Dar wakati ni mji wa kawaida tu unaojitosheleza.

Ila kwa Tanzania hakuna mkoa wenye makazi Bora vijijini Kama kagera
Hujatembea Tanzania wewe, there's nothing in Bukoba mjini wala vijini. People are proud for nothing, kuishi kijijini kula panzi na ndizi si sifa bali ni jadi.
 
Uchawi na dini ndiyo inaifanya Kigoma kuwa nyuma kimaendeleo. Sehemu yeyote ambayo Uislam umeshamiri sana LAZIMA kunakuwa hakuna maendeleo tu. Angalia Lindi mijini na Tabora kulivyo nyang'anyang'a, watu wamekalia dini tu isiyowasaidia maishani ila kusoma hawataki na ukisoma wanakusomea albadiri uwe kichaa ili ufanane kama watoto wao.
 
Geita gani imechakaa ? Wakati inapanuka kwa kasi kuliko hata hiyo Bukoba na barabara za lami zimeongezeka kwenye mitaa mingi mjini hapa. Traffic lights kibao. Wewe vipi ?
Mbona Geita pamechakaa.
 
Hujatembea Tanzania wewe, there's nothing in Bukoba mjini wala vijini. People are proud for nothing, kuishi kijijini kula panzi na ndizi si sifa bali ni jadi.
Nitajie mkoa wenye vijiji Bora Kama kagera Tanzania hii...acha kujifariji
 
Ukabila na udini unakuja kwa kasi TZ. Uzi unazungumzia aliyoyaona Bukoba. Lakini unakoishia utafika kwenye dini na ukabila. Watu wameanza kuitana vichaa huku. Mara mikoa flani haiendelei kwa sababu ya dini flani. Huu uzwazwa tusipouacha dah.
 
ulitaka kusikia nini !
kuwa ukimwi umeshamili upate la kuongea.

kama kinachoendelea hata kama mabadiliko ya kisiasa,kijamii na vingine siwezi kuzuia
 
Ukimwi je?
 
Sawa Magu kajitahidi.

Lakini kaubagua huu mkoa kwenye stendi ya mkoa, soko kuu la mji na barabara za mjini zimechakaa Sana.

But kwa upande vijijini huko ndio Kuna mijumba na mahekalu
Ni mkoa umeshika no 18 ktk utajiri tanzania.
 
Pitia huku
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nenda machame,kibosho,uru,kirua,marangu malizia na rombo.
Hutaki jinyeeee au jinyonge
Rombo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…