Hahahaha...nshomile ila mna tambo sana nyie, nshomile hata akiishia kidato cha nne huwa anapenda kuji present kama mtu maridadi sana, msomi. Sasa ikitokea ana PhD au ni professa au amewahi kuishi na kufanya kazi majuu na ana pesa zake, hakuna mtu ataacha kumjua....maana akianza kujitambulisha itabidi mtafute mashuka muuchape usingizi.Kijana wanajulikana kwa sababu ni kabila kubwa.
But kila kabila hizo Tabia zipo.so ni Tabia za binadamu yeyote anayo sio kabila flani.
Otherwise uwe unachuki na kabila flani.
Kuna vikabila vidogo vina Tabia za ajabu ajabu mpaka utasema wahaya ni Bora sana