Shkamoo bamkwe!
he he he...marhaba...chukua fastjet fasta umuwahi mkeo....maana mabasi ndio yametia ngumu kusafiri
una akili sana Lady doctor
marhaba binti yangu...nakuona mwenyewe!!!
Kaizer si shemeji yangu tu jamani kwani kuna lingine babe? Halafu mie sitegeki ujuee
yeah, tumetoka mbali Kaizer, hebu ngoja niombe kibali cha kurudisha mawasiliano tena
we Lady doctor huko mbali mlipotoka na my huby ni wapi?
Kabla sijakutia machoni mpz DEMBA, nilikuwa namfahamu Lady doctor, ni mtu mwema tu hana shida, ni mke wa Arushaone kwa sasa.
Kabla sijakutia machoni mpz DEMBA, nilikuwa namfahamu Lady doctor, ni mtu mwema tu hana shida, ni mke wa Arushaone kwa sasa.