RJ-White JF-Expert Member Joined Nov 25, 2014 Posts 744 Reaction score 752 Jan 12, 2022 #41 Kiranga said: Kwa maana hii ukiamini wewe umemzidi Jeff Bezos kwa helq na ni tajiri wa kaanza wa dunia leo, hilo litakuwa kweli. Ukiamini kwamba ukipanda grorofani ghorofa ya 20 ukajirusha malaika wa Mungu watakudaka, utajirusa watakudaka tu. Click to expand... Please tafuta mifano mingine. Hii ni irrelevant.
Kiranga said: Kwa maana hii ukiamini wewe umemzidi Jeff Bezos kwa helq na ni tajiri wa kaanza wa dunia leo, hilo litakuwa kweli. Ukiamini kwamba ukipanda grorofani ghorofa ya 20 ukajirusha malaika wa Mungu watakudaka, utajirusa watakudaka tu. Click to expand... Please tafuta mifano mingine. Hii ni irrelevant.
NostradamusEstrademe JF-Expert Member Joined Jul 1, 2017 Posts 3,402 Reaction score 4,532 Jan 12, 2022 #42 Tulimumu said: Labda anauguliwa na nkewe Click to expand... Muombe mungu radhi kabla ya asubuhi
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Jan 13, 2022 #43 Kumbisalehe said: Please tafuta mifano mingine. Hii ni irrelevant. Click to expand... Kwa nini ni irrelevant? Kitu hakiwi irrelevant kwa sababu umesema tu ni irrelevant. Inakubidi utoe sababu za kimantiki kuonesha kwa nini kitu ni irrelevant.
Kumbisalehe said: Please tafuta mifano mingine. Hii ni irrelevant. Click to expand... Kwa nini ni irrelevant? Kitu hakiwi irrelevant kwa sababu umesema tu ni irrelevant. Inakubidi utoe sababu za kimantiki kuonesha kwa nini kitu ni irrelevant.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 13, 2022 #44 Kuna binadamu wanasikitisha sana...