Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Amani ya Tanzania ni Muhimu sana kuliko wafuasi wa chadema.Taarifa kutoka bukoba mjini zinasema kuwa jeshi la Polisi mkoani zkagera limewakamata viongozi wa Chadema na mskada wa chama hicho waliokuwa wanafanya kikao cha kawaida katika ofisi za Chadema mkoani humo.
Hivyo ndivyo Jeshi la Simon Sirro lilivyogeuka kuwa jeshi la uonevu, uonevu huu mpaka unatia aibu hii ni too much.
Sijui Serikali hii ya Tanzania inatafuta nini, Sijui hii serikali inataka nini kwa kweli. Hii ni too much!
Binafsi nawaonea uruma Sana hasa awa police wa vyeo vya chini , Wengine wanafanya Basi tu amri umetoka KWa mkubwa wao, Sasa awa ni ndugu zetu , nikionacho mbele itafika mda wataingia Katika migogoro na familia zetu ,hasa wapenda haki, hii inakuja, watu wamechoka,Taarifa kutoka bukoba mjini zinasema kuwa jeshi la Polisi mkoani zkagera limewakamata viongozi wa Chadema na mskada wa chama hicho waliokuwa wanafanya kikao cha kawaida katika ofisi za Chadema mkoani humo.
Hivyo ndivyo Jeshi la Simon Sirro lilivyogeuka kuwa jeshi la uonevu, uonevu huu mpaka unatia aibu hii ni too much.
Sijui Serikali hii ya Tanzania inatafuta nini, Sijui hii serikali inataka nini kwa kweli. Hii ni too much!
mkuu amani gani inayozungumziwa hapo?Amani ya Tanzania ni Muhimu sana kuliko wafuasi wa chadema.
nawaonya wafuasi wa chadema popote pale mlipo ni bora uchezee kitambi chako au mzuzu wako wa ndevu lkn kamwe msijaribu kuchezea Amani ya Taifa letu, mtachakazwa bila hurumu.
Makalio ya......Amani ya Tanzania ni Muhimu sana kuliko wafuasi wa chadema.
nawaonya wafuasi wa chadema popote pale mlipo ni bora uchezee kitambi chako au mzuzu wako wa ndevu lkn kamwe msijaribu kuchezea Amani ya Taifa letu, mtachakazwa bila hurumu.
Jeshi la kigaidi hili. Hapa hakuna polisi.Taarifa kutoka bukoba mjini zinasema kuwa jeshi la Polisi mkoani zkagera limewakamata viongozi wa Chadema na mskada wa chama hicho waliokuwa wanafanya kikao cha kawaida katika ofisi za Chadema mkoani humo.
Hivyo ndivyo Jeshi la Simon Sirro lilivyogeuka kuwa jeshi la uonevu, uonevu huu mpaka unatia aibu hii ni too much.
Sijui Serikali hii ya Tanzania inatafuta nini, Sijui hii serikali inataka nini kwa kweli. Hii ni too much!
Ni wale wale.Uyu mama mishungi anazngua km sio mtanzania yan
Hao waliokamatwa wamekamatwa wakiwa Twitter??Wao wamekazna na twita badala wafanye kweli kitaaa
ID za kulipwa😅😅Amani ya Tanzania ni Muhimu sana kuliko wafuasi wa chadema.
nawaonya wafuasi wa chadema popote pale mlipo ni bora uchezee kitambi chako au mzuzu wako wa ndevu lkn kamwe msijaribu kuchezea Amani ya Taifa letu, mtachakazwa bila hurumu.
Huna akili kabisa.Amani ya Tanzania ni Muhimu sana kuliko wafuasi wa chadema.